• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Shirika la ubora wa bidhaa Uganda laameanza kuwalinda wateja

    (GMT+08:00) 2017-06-02 19:01:14
    Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini Uganda UNBS limeanza kampeni za kuwalinda raia dhidi ya bidhaa gushi.

    UNBS inachukua hatua hiyo baada ya malalamiko kutoka kwa wakaazi kwamba kuna bidhaa nyingi sokoni ambazo hazijafikia viwango vilivyowekwa.

    Mkurungezi wa shirika hilo Ben Manyindo amesema jukumu lao kubwa ni kulinda raia na kuhakikisha wananunua bidhaa zenye ubora unaofaa.

    Alisema ili kuzuia bidhaa gushi kuingia nchini humo, kunafaa kuwa na mipango kama vile ukaguzi wa kabla ya uagiziaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako