• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali za Klabu bingwa mpira wa kikapu Afrika kufanyika August 18-30, 2017

    (GMT+08:00) 2017-06-05 08:18:36

    Fainali za Ubingwa wa mpira wa kikapu Afrika (Afrobasket) zinatarajiwa kufanyika nchini Brazzaville Agosti 18-30 mwaka huu. Timu ya wanaume ya DRC imeanza maandalizi ya michuano hiyo aitakayozikutanisha timu 12 za Afrika zitashiriki michuano hiyo baada ya awamu ya mwisho ya kuchagua timu hizo kufanyika nchini Congo Brazzaville.

    Mara ya mwisho kwa timu ya DRC kushiriki michuano hiyo ilikuwa mwaka 2007 nchini Angola.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako