• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Murray atinga robo fainali French Open

    (GMT+08:00) 2017-06-07 08:17:10

    Mcheza tennis Andy Murray anayeshikilia namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanaume ametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya French Open 2017 baada ya kumfunga mrusi Karen Khachanov katika michuano hiyo inayoendelea jijini Paris Ufaransa.

    Murray ameshinda kwa jumla ya seti 6-3-4-6-4 dhidi ya Khachanov ndani ya saa 2:04 ukiwa ni ushindi wake wa 650 katika ngazi ya mashindano yote makubwa aliyowahi kushiriki muingereza huyo.

    Mashindano ya French Open yalianza kutimua vumbi Mei 22 na yanatarajiwa kufikia tamati Juni 11 ambapo mchezo wa fainali utapigwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako