Ripoti ilionyesha kuwa ndege za Afrika, ikiwa ni pamoja na RwandAir, zinakadiriwa kujiandikisha kuongeza abiria zaidi ya asilimia 7.5, ambayo iko chini kidogo ikilinganishwa na ukuaji wa awali uliolengwa wa asilimia 7.9.
Mkuu wa IATA, amebainisha kuwa bei ya juu ya mafuta na gharama za matengenezo bado ni changamoto kubwa katika ukuaji wa sekta hiyo.
Aidha amesema gharama ya matengenezo iliongezeka katika robo ya kwanza.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |