• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China awasili Astana kwa ziara rasmi nchini Kazakhstan

    (GMT+08:00) 2017-06-08 10:05:11

    Rais Xi Jinping wa China amewasili Astana, mji mkuu wa Kazakhstan na kuanza ziara rasmi nchini humo.

    Akiwa nchini Kazakhstan, rais Xi anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa 17 wa baraza la wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai SCO na ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ya Astana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako