Lebron James wa Cavaliers aliendelea kufanya vyema akiwa na wastani wa triple double, alimaliza mchezo huo akiwa na alama 31, rebound 10 na assist 11.
Mchezo wa 5 utakuwa siku ya jumanne mjini San Fransisco katika uwanja wa Oracle Arena wa Golden State Warriors.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |