• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali za ligi ya NBA: Warriors vs Cavaliers

    (GMT+08:00) 2017-06-12 08:51:30

    Ushindi wa alama 137-116 wa Cleveland Cavaliers dhidi ya Golden state warriors umefuta matumaini ya Warriors kutwaa ubingwa katika uwanja wa Cleveland.

    Lebron James wa Cavaliers aliendelea kufanya vyema akiwa na wastani wa triple double, alimaliza mchezo huo akiwa na alama 31, rebound 10 na assist 11.

    Mchezo wa 5 utakuwa siku ya jumanne mjini San Fransisco katika uwanja wa Oracle Arena wa Golden State Warriors.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako