• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • NBA: Golden State yaitwanga Cavaliers na kubeba ubingwa

  (GMT+08:00) 2017-06-14 08:31:59
  Hatimaye Golden State Worriers wametimiza ndoto yao ya kuchukua ubingwa wa NBA baada ya ushindi wa pointi 129-120 dhidi ya Cavaliers ukiwa ni mchezo wa tano.

  Maana yake kwa ujumla, State wameshinda kwa michezo 4-1 na kuwa mabingwa rasmi. Awali walianza kushinda michezo mitatu mfululizo kabla ya Cavaliers kuamka na kushinda mmoja. Lakini jana ilionekana tena ni zamu ya States ambao waliongozwa na Kevid Durant na Stephen Curry.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako