• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya Rais Uhuru amekataa kodi ya chini ya makampuni ya mchezo wa bahati nasibu

  (GMT+08:00) 2017-06-14 20:14:31

  Rais Uhuru Kenyatta amekataa kodi ya chini wa Wabunge walikuwa wamepatia makampuni ya mchezo wa bahati nasibu, akisema wanapaswa kulipa asilimia 35 ya mapato yao kwa mkusanyaji kodi.

  Baada ya wabunge kukataa asilimia 50 iliyopendekezwa na Hazina ya fedha kupitia Bili ya Fedha, makampuni sasa wanapaswa kukabiliana na ongezeko lililowekwa na Rais.

  Rais amesema sababu yake ya kukataa kodi ya chini kwa kampuni hizo imetokana na Bunge kufuta kifungu kilichotengenezwa ili kuvunja moyo vijana katika kushiriki michezo hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako