Bondia raia wa Marekani Andre Ward amefanikiwa kumshinda Sergey Kovalev katika dakika ya pili na sekunde tisa ya raundi ya nane ya pambano la uzito wa Light Heavy lililofanyika mjini Mandaalay Bay.
Refa wa pambano hiloTony Weeks alilalalmikiwa kwa kumaliza pambano hilo haraka na kumpa ushindi wa Technical Knockout (TKO) Ward. Huku mrusi Kovalev akiwa na uwezo wa kuendelea na pambano.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |