• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa pili wa mwaka wa AIIB wafungwa Korea Kusini

    (GMT+08:00) 2017-06-19 10:36:55

    Mkutano wa pili wa mwaka wa Baraza la Benki ya uwekezaji wa miundo mbinu ya Asia AIIB ulifungwa jana huko Jeju, Korea Kusini.

    Mkutano huo umefuatilia ujenzi wa miundo mbinu endelevu, na kujadili kwa kina uendeshaji na maendeleo ya kimkakati ya benki hiyo, na manufaa yake kwa Asia na dunia nzima katika siku zijazo.

    Kwenye mkutano huo, AIIB pia imetangaza kuidhinisha maombi ya Argentina, Madagascar na Tonga kujiunga na benki hiyo, na kuifanya idadi ya nchi wanachama wa benki hiyo ifikie 80.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako