• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China kuhudhuria mkutano wa 11 wa baraza la Davos la majira ya joto

    (GMT+08:00) 2017-06-21 18:42:54

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atahudhuria na kuhutubia ufunguzi wa mkutano wa 11 wa baraza la Davos la majira ya joto utakaofanyika kuanzia jumatatu ijayo huko Dalian, China.

    Geng pia amesema, waziri mkuu Li atafanya mazungumzo na viongozi wa nchi mbalimbali zikiwemo Finland na Sweden, na wageni wengine kutoka sekta za viwanda, biashara, fedha, akiba ya ujuzi na vyombo vya habari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako