• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msaidizi wa rais Trump akutana na Netanyahu kujadili amani ya mashariki ya kati

    (GMT+08:00) 2017-06-22 08:52:01

    Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu jana alikutana na mshauri mwandamizi wa rais Donald Trump wa Marekani kuhusu masuala ya mashariki ya kati Bw. Jared Kushner, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Marekani kurejesha mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palestina. Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Marekani inasema Bw. Kushner alitumwa kwenye kanda hiyo kutimiza ahadi ya rais Trump ya kuleta "makubaliano ya mwisho" kati ya Israeli na Palestina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako