• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza aomba radhi kutokana na ajali ya moto ya jengo la makazi London

    (GMT+08:00) 2017-06-22 08:52:19

    Waziri mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May alitoa taarifa jana, akiwaomba radhi wahanga wa ajali kubwa ya moto iliyotokea hivi karibuni kwenye jengo moja la makazi lenye ghorofa 24 magharibi mwa London, na kusababisha vifo vya watu wapatao 80. Bibi May amekiri kuwa hatua alizochukua wakati janga hilo hazikutosha, na serikali yake ilishindwa kuwasaidia wananchi wakati walipohitaji msaada. Bibi May pia amesema anafanya juhudi zote kushughulikia vizuri mambo baada ya janga hilo, na kwamba familia zote zilizopoteza nyumba katika ajali hiyo watapewa makazi ndani ya wiki tatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako