• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa maagizo muhimu baada ya tukio la maporomoko ya maji na mawe kutoka milima mkoani Sichuan

    (GMT+08:00) 2017-06-24 18:17:48

    Maporomoko ya maji na mawe kutoka kwenye milima yaliyotokea katika wilaya ya Mao kwenye Jimbo linalojiendesha la Aba mkoani Sichuan yamesababisha nyumba za familia 46 kubomoka, watu 141 kupotea, mito yenye urefu wa kilomita 2 kuzibwa na barabara yenye umbali wa kilomita 1,600 kuzikwa.

    Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China zimeweka mkazo mkubwa katika tukio hilo, ambapo rais Xi Jinping ametoa agizo muhimu akiutaka mkoa huo kufanya juhudi kubwa katika kuwaokoa watu waliokumbwa na maafa hayo, ili kupunguza kwa kiasi kikubwa vifo vya watu na waliojeruhiwa.

    Msemaji wa serikali ya mkoa wa Sichuan Bw. Tang Limin ameeleza kuwa, hivi sasa kazi ya utoaji wa uokoaji na misaada inaendelea kwa utaratibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako