• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Harambee Starlet yaporomoka kwa nafasi 8 hadi 118 Duniani

    (GMT+08:00) 2017-06-26 09:19:40
    Kenya imeteremka nafasi 8 hadi 118 katika viwango bora vya soka ya wanawake duniani ambavyo Shirikisho la Soka duniani (FIFA) imetangaza.

    Harambee Starlets haijakutana na timu yoyote ya taifa tangu ilipopoteza dhidi ya Nigeria (4-0), Ghana (3-1) na Mali (3-1) katika mechi za makundi za Kombe la Afrika nchini Cameroon mwezi Novemba mwaka 2016.

    Tanzania nayo imeporomoka kwa nafasi 6 hadi nafasi ya 112, huku Rwanda imeporomoka kwa nafasi 7 na kushika nafasi ya 115 duniani na Uganda imeshikana nafasi ya 119 duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako