• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East Africa: Jambo la muhimu kwa Kilimo Afrika Mashariki

    (GMT+08:00) 2017-06-26 20:00:38

    Kilimo sasa itawekwa kama namba moja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa inachochea ukuaji wa uchumi.

    Hii imefatia saini ya wiki iliyopita ya Programu ya Maendeleo ya Kilimo ya Afrika Mashariki (CAADP) .

    Maelezo ya mpango huu ni vipaumbele vya maendeleo ya kikanda na ushirikiano unaohitajika kufikia mabadiliko ya kilimo kulingana na malengo ya CAADP.

    Mkataba wa EAC wapaswa kuzingatia usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali za mali asili; Miundombinu ya vijijini, uwezo wa teknolojia ICT na uwezo wa biashara ili kuboresha upatikanaji wa soko; Ugavi wa chakula na kupunguza njaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako