• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tenisi: Changawa ashinda Tenisi open champion klabu ya Nairobi

    (GMT+08:00) 2017-06-27 09:02:17

    Bingwa wa Wanawake Shufaa Changawa wa Kenya jana jumatatu alipata ushindi baada ya kumshinda Emmaculate Musimbi kwa jumla ya seti 6-0, 6-0 kwenye michuano ya Britannia Open Tennis Nairobi Club.

    Michuano hiyo inaendelea leo ambapo Changawa atakutana na Achu Madhieu wa Sudan katika duru ya pili.

    Naye Nancy Onya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefanikiwa kumshinda Joy Lister wa Kenya katika raundi ya pili kwa seti 6-0, 6-0.

    Kwa upande wa wanaume, Valentine Akoth wa Kenya amekubali kipigo toka kwa Natali Coronel wa Argentina baada ya kufungwa kwa seti 6-0, 6-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako