• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hofu imezuka kufuatia mauaji ya vijana wawili huko Ituri, mashariki mwa DRC

    (GMT+08:00) 2017-06-27 09:29:09

    Hali ya usalama katika eneo la Ituri inaonekana kuwa tete, kufuatia tukio lenye utata la mauaji ya vijana wawili. Kumekuwa na wasiwasi wa kulipuka kwa mapigano ya kikabila yenye lengo la kulipiza kisasi. Vyombo vya usalama katika eneo hilo vimejaribu kuwatuliza wakazi wenye hasira, wakati undani kuhusu tukio lenyewe ukifanyiwa uchunguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako