• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Kenya watahadharishwa kuepuka uchochezi kabla ya uchaguzi mkuu

    (GMT+08:00) 2017-06-28 09:42:32

    Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Kenya, watumiaji wa mitandao ya kijamii wametahadharishwa dhidi ya kueneza chuki na ukabila kupitia mitandao hiyo. Waziri wa Usalama wa ndani Bw. Joseph Nkaisery ametoa onyo kuwa yeyote atakayepatikana na hatia atachukuliwa hatua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako