• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya jumla ya biashara kati ya China na Afrika yaongezeka kwa asilimia 22.2 katika miezi mitano ya mwanzo ya mwaka huu

    (GMT+08:00) 2017-06-28 19:14:34

    Takwimu zilizotolewa na Idara ya Forodha ya China zimeonesha kuwa, katika miezi mitano ya mwanzo ya mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara kati ya China na Afrika imefikia dola bilioni 70.14 za kimarekani, ambayo imeongezeka kwa asilimia 22.2 kwa kuliniganishwa na ya mwaka jana.

    Idara hiyo imesema, ongezeko hilo limezidi ongezeko la thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China kwa asilimia 9.2.

    Habari nyigine kutoka Mfuko wa Maendeleo kati ya China na Afrika zinasema, katika miaka kumi iliyopita tangu mfuko huo kuzinduliwa, zaidi ya dola za kimarekani bilioni 4.4 zimewekezwa katika nchi 36 za Afrika, na kuhamasisha kampuni za China kuwekeza dola zaidi ya bilioni 20 za kimarekani barani Afrika, ambao umekuwa jukwaa kuu la China kuwekeza barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako