• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifurushi vilivyosambazwa nchini China yachukua asilimia 40 ya idadi ya jumla kote duniani kwa mwaka jana

    (GMT+08:00) 2017-06-29 09:06:37

    Sekta ya usafirishaji wa vifurushi nchini China ilisambaza vifurushi bilioni 33 mwaka jana, idadi ambayo ilichukua asilimia 40 ya jumla ya vifurushi vilivyosambazwa kote duniani, na kuleta mapato zaidi ya dola bilioni 58.8 za kimarekani. Mkurugenzi wa Shirikisho la sekta ya huduma za vifurushi la China Bw. Gao Hongfeng amesema sekta hiyo imeendelea kwa kasi tangu ianzishwe miaka 30 iliyopita, na imekuwa nguzo muhimu ya sekta kubwa ya biashara kupitia mtandao wa Internet nchini China, na pia imetoa mchango mkubwa katika kuhimiza ajira na matumizi nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako