• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yazindua mradi wa kuendeleza elimu

    (GMT+08:00) 2017-06-29 09:48:45

    Wizara ya elimu nchiniya jumla ya Sudan Kusini kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya imezindua mradi wa kuendeleza elimu unasaidiwa na Umoja wa Ulaya wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 22.7, ambao utatoa ruzuku ya dola 40 kila mwezi kwa walimu zaidi ya elfu 30 wa shule za msingi nchini humokote.

    Waziri wa elimu ya jumlanchini Sudan Bw. Deng Deng Hoc amesema, fahamisha kuwa wizara hiyo na wenzi husikawashirika wake wataanza kulipa ruzuku hiyotoa fedha kwa walimu wasiopungua elfu 16 ndani ya wiki hii, ili kuwasaidia kuwawezesha walimu waendelee walimu hao kufundisha shulena shule ziendelee kufanya kazi wakati nchi hiyo inakabiliwa na nimsukosuko wa kicuhumi na ukosefu wa usalama zilizoko kwenye maeneo yasiyo katika hali isiyo na usalama yenye mgogoro wa uchumi.

    Amesema mradi huo utatoa uungaji mkono mkubwa kwa mfumo dhaifu wa elimu nchini Sudan Kusini, ulioathiriwa na ambao umeathiriwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe, miundo mbinu duni hafifu na mishahara ya chini ya walimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako