• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalum wa China anayeshughulikia mambo ya Afrika amaliza ziara DRC

    (GMT+08:00) 2017-06-30 09:05:13

    Mjumbe maalumu wa serikali ya China anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Xu Jinghu amekamilisha ziara ya siku tatu iliyoanza Jumanne nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, ambako kwa nyakati tofauti alikutana na rais Joseph Kabila na naibu waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Leonard Okitundu. Bw. Xu Jinghu amesema China itaendelea kuunga mkono maendeleo ya DRC, kuimarisha ushirikiano wa kunufaishana kwenye sekta za miundombinu, nishati na utamaduni, na kutia nguvu mpya kwenye uhusiano wa wenzi wa kimkakati kati ya China na DRC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako