• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Russia na Marekani kukutana katika mkutano wa G20

    (GMT+08:00) 2017-06-30 09:58:09

    Msaidizi wa rais wa Marekani anayeshughulikia mambo ya usalama Bw. McMaster amesema rais Donald Trump atakutana na rais Vladimir Putin wa Russia wakati wa mkutano wa kilele wa kundi la nchi 20 utakaofanyika mwezi ujao mjini Hamburg, lakini ajenda ya mkutano wao bado haijathibitishwa.

    Katibu wa rais wa Russia Bw. Dmitri Peskov amesema, katika mkutano wa kilele wa kundi la nchi 20, rais Putin wa Russia atakutana na Rais Trump wa Marekani. Amesema bila shaka marais hao watakutana, lakini Russia haijajiandaa kwa ajili ya mkutano kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako