• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (24 Juni-30 Juni)

    (GMT+08:00) 2017-06-30 18:57:42

    Jeshi la Somalia lawaua wapiganaji 6 wa Al-Shabaab

    Kamanda wa jeshi la serikali ya Somalia Abdulahi Ali Anod amesema wapiganaji sita wa kundi la Al-Shabaab waliuawa wiki hii kwenye mapambano makali na jeshi la serikali wakati walipokuwa wakishambulia kambi ya jeshi hilo katika jimbo la Shabeellaha Dhexe, kusini mashariki mwa nchi hiyo. Askari mmoja wa jeshi hilo pia alipoteza maisha kwenye mapambano hayo.

    Kamanda huyo amesema jeshi la serikali litaendelea na operesheni dhidi ya kundi hilo lililoanzisha mashambulizi mengi ya kigaidi nchini humo na katika nchi jirani.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako