• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China amaliza shughuli mbalimbali mkoani Hong kong na kurejea Beijing

    (GMT+08:00) 2017-07-02 17:36:48

    Rais Xi Jinping wa China amemaliza shughuli mbalimbali katika mkoa wa utawala maalumu wa Hong Kong, na kurejea hapa Beijing tarehe 1 mchana.

    Wakati alipokuwa mkoani Hongkong, rais Xi alihudhuria maadhimisho ya miaka 20 ya Hong Kong kurudi kwa China na hafla ya kuapishwa kwa Baraza la serikali ya awamu ya 5 ya mkoa huo, na alikutana na wakuu wa mkoa huo Bw. Tung Chee-hwa, Bw. Leung Chun-ying, Bibi Lam Cheng Yuet-ngor, viongozi wa idara mbalimbali za mkoa huo na watu kutoka sekta mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako