• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wawili wauawa katika shambulizi la bomu nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2017-07-03 09:26:57

    Polisi nchini Somalia imesema watu wawili wameuawa na wengine watano kujeruhiwa baada ya gari la abiria kukanyaga bomu lililotegwa kando ya barabara moja katika wilaya ya Afgoye iliyoko kilomita 30 kaskazini magharibi mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.

    Hadi sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako