• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 18 wanasadikiwa kufa katika ajali ya usafirishaji nchini Ujerumani

    (GMT+08:00) 2017-07-03 18:46:45

    Watu 18 wanahofiwa kufa katika ajali ya barabarani baada ya basi moja kugonga na lori kusini mwa Ujerumani.

    Ajali hiyo imetokea katika barabara ya A9 mjini Bavaria na kusababisha watu wasiopungua 30 kujeruhiwa.

    Msemaji wa polisi Bw Juergen Stadter amesema, kuna matumani ya watu kunusurika kwa kuwa watu hao 18 waliopotea, hawamo kwenye basi hilo.

    Hivi sasa, barabara hiyo ya A9 imefungwa na helikopta nyingi zimeandaliwa kwa ajili ya kazi za uokoaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako