• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa umoja wa Afrika waanza mjini Addis Ababa

    (GMT+08:00) 2017-07-03 18:51:06

    Mkutano wa 29 wa Umoja wa Afrika umeanza leo mjini Addis Ababa kwenye makao mkuu ya Umoja wa Afrika.

    Kwenye mkutano huo wa siku mbili wenye kauli mbiu ya kuwekeza kwa vijana, wakuu wa nchi za Afrika watajadili kuchangia fedha kwa ajili ya Umoja wa Afrika, mageuzi ya umoja huo, pamoja na maswala ya amani na usalama.

    Huu ni mkutano wa kwanza tangu mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika Bw Moussa Mahamati achaguliwe.

    Mkutano huu unaendeshwa chini ya uenyekiti wa Rais Alpha Conde wa Guinea.

    Rais Xi Jinping ametuma salamu za pongezi za kufunguliwa kwa mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako