• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Russia wakutana

    (GMT+08:00) 2017-07-04 09:43:50

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na rais Vladimir Putin wa Russia huko Moscow, na kubadilishana maoni kuhusu masuala makuu wanayofuatiliwa kwa pamoja, kuzungumzia urafiki kati ya nchi zao na kujadili maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

    Marais hao wawili wamebadilishana maoni kuhusu hali ya peninsula ya Korea na suala la Syria. Wanaona China na Russia zinapaswa kudumisha uratibu wa kimkakati, kukabiliana hali ya peninsula ya Korea kwa njia mwafaka, na kuhimiza pande mbalimbali kufanya mazungumzo ili kutatua suala hilo. Pia wamesema China na Russia zina msimamo wa pamoja katika kupinga mfumo wa THAAD kuwekwa nchini Korea Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako