• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Uchaguzi wa amani utavutia watalii

    (GMT+08:00) 2017-07-04 20:28:39

    Waziri wa utalii nchini Kenya Najib Balala amewataka wanasiasa kufanya siasa za amani ili kuzuia athari mbaya za sekta ya utalii.

    Wanasiasa wameshauriwa kufanya kampeini za amani ili kuzuia hofu miongoni mwa watalii.

    Balala amesema iwapo uchaguzi utafanyika kwa amani basi idadi ya watalii wanaoukuja Kenya itaongezeka.

    Afisa mkuu mtendaji wa bodi ya utalii Kenya Betty Raduer amesmea utalii ulikuwa kwa asilimia 10.6 mwaka jana na maendeleo yake yatategemea pakuu uchaguzi wa amani mwaka huu.

    Wamesema wataendelea kufanya kampeini za kuvutia watalii kutoka Uingereza ,Marekani,Ujerumani China na India.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako