• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya China yashinda kandarasi ya upanuzi wa barabara Kenya

    (GMT+08:00) 2017-07-05 08:55:38

    Kampuni ya ujenzi ya China CNQC imeshinda kandarasi ya mradi wa upanuzi wa barabara kuu yenye urefu wa kilomita 10 pembezoni mwa Nairobi. Mamlaka ya barabara za mijini nchini Kenya KURA imesaini makubaliano hayo thamani ya dola milioni 20 za kimarekani na kampuni ya CNQC. KURA imesema mradi huo unaotarajiwa kumalizika ndani ya miaka miwili, ni sehemu ya miradi ya ujenzi ya kuboresha miundombinu inayolenga kuinua hadhi na kuboresha mazingira ya mji wa Nairobi, na kusaidia kutimiza ruwaza ya mwaka 2030.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako