• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kriketi: Uganda yaongoza baada ya kuifunga Kenya

    (GMT+08:00) 2017-07-05 09:04:08

    Timu ya kriketi ya Uganda Cranes imeibuka mshindi dhidi ya timu ya kriketi ya Kenya katika michuano ya kriketi ya Afrika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Nairobi Jaffreys.

    Uganda leo wanakutana na Botswana huku Kenya itamenyana na Ghana. Bingwa wa mashindano haya atajikatia tiketi ya kushiriki michuano ya Kriketi ya Dunia yatakayofanyika New Zealand mapema mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako