• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yaanza kuimarisha usalama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Julai

    (GMT+08:00) 2017-07-05 09:49:02

    Polisi nchini Kenya wamesema usalama katika maeneo ya makazi duni mjini Nairobi utaimarishwa, kwa kuwa ni maeneo yaliyotajwa kuwa yana uwezekano wa kukumbwa na vurugu wakati wa uchaguzi utakaofanyika mwezi Agosti.

    Kamanda wa polisi wa kaunti ya Nairobi Bw Japheth Koome amesema ngazi ya hatari ya usalama kwenye maeneo hayo ni ya juu. Amesema polisi wamesambazwa kuhakikisha mazingira ni salama kwa ajili ya wenyeji na wageni.

    Umoja wa Ulaya umesema una wasiwasi kuhusu hali ya usalama kwenye uchaguzi wa mwezi ujao, na kutaka uchaguzi huo usivurugwe. Jacob Mogoa na ripoti zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako