• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Washukiwa wa kuangushwa kwa ndege ya MH17 wapandishwa kizimbani Uholanzi

    (GMT+08:00) 2017-07-06 09:27:20

    Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amesema washukiwa wanaotuhumiwa kutungua ndege ya abiria ya Malaysia MH17 mwezi Julai mwaka 2014 kwenye anga ya Ukraine watapandishwa kizimbani nchini Uholanzi. Rais Poroshenko aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba uamuzi wa kuchunguza kesi hiyo chini ya sheria za Uholanzi ulipitishwa na Timu ya pamoja ya uchunguzi, inayoundwa na wajumbe kutoka Uholanzi, Australia, Malaysia, Ubelgiji na Ukraine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako