• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kengen yaongeza megawati 80 kwenye gridi ya taifa

    (GMT+08:00) 2017-07-06 17:37:10

    Kampuni ya kuzalisha kawi nchini Kenya Kengen imeongeza megawati 80 kwenye gridi ya taifa kuendelea kutimiza mahitaji yanayoongezeka.

    Teknolojia ya Wellhead ambayo ilianzishwa kwenye eneo la kawi ya mvuke la Olkaria imesaidia kuongeza uzalishaji.

    Waziri wa kawi Charles Keter, amesema teknolojia hiyo imesaidia pia kurejesha gharama za uchimbaji wa visim.

    Kwa jumla eneo la bonde la ufa hasa Naivasha lina uwezo wa kuzalisha megawati 10,000 za kawi kwa kutumia mvuke lakini uzalishaji bado ni chini ya megawati 1, 000 tu

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako