• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Treni mpya Kenya yaathiri biashara ya utengenezaji mabasi

    (GMT+08:00) 2017-07-06 17:37:38

    Mwezi mmoja tu baada ya kuanzishwa kwa huduma za usafiri wa treni mpya nchini Kenya SGR sasa makamapuni ya kutengeneza mabasi nchini humo yamekubwa na upungufu wa biashara.

    Chama cha watengenezaji mabasi kinasema sasa mahitaji ya mabasi ya usafiri yameshuka kufutia kuanzishwa kwa usafiri wa reli ambao ni wa gharama ya chini nan i wa kasi kwenda Mombasa.

    Mwenyekiti wa chama hicho Pal Choda amesema sasa wanasubiri kuona kama kutakuwa na mabadiliko ya wateja siku za mbele.

    Amesema sasa biashara yao imeshuka sana na huenda ikaathiri zaidi wa watu 200 wanaofanya kazi kwenye kiwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako