• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Qatar atoa wito kutatua mvutano kwa njia ya kidiplomasia

    (GMT+08:00) 2017-07-06 17:55:04

    Waziri wa mambo ya nje wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman Al-Thani amesema, Qatar haitatekeleza masharti yaliyotolewa na Saudi Arabia, na kutoa wito kutatua mvutano kwa njia ya kidiplomasia.

    Bw. Mohammed amesema, Qatar siku zote inafuata sera yake ya kujiamulia, jambo ambalo huenda linazifanya nchi nyingine kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi hiyo.

    Bw. Mohammed amesema nchi yake inaendelea kuunga mkono umoja na amani, na pia ameihimiza Marekani kushiriki kwenye uratibu na utatuzi wa suala hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako