• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KBA yakasirishwa na idara ya mahakama Kenya

    (GMT+08:00) 2017-07-07 18:50:36

    Chama cha mabenki nchini Kenya kimelaani vikali uamuzi wa mahakama kwa kesi zilizowasilishwa dhidi ya wateja wake.Kwa mujibu wa katibu mkuu wa chama hicho Bwana Habil Olaka, uamuzi huo wa mahakama za Kenya umeathiri pakubwa sekta ya benki nchini Kenya ikiwemo biashara.Ameongeza kuwa benki nyingi zimepata hasara kutokana na baadhi ya uamuzi ambao umekuwa ukitolewa na mahakam kwa kesi za wateja wao dhidi yao.Aidha Olaka pia ametoa wito kwa idara ya mahakama kuhakikisha mahakama zinaharakisha kesi kati yao na wateja ili kuzuia hasara ambazo wamekuiwa wakipata.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako