• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 28 wafariki katika vurugu zilizotokea kwenye gereza moja nchini Mexico

    (GMT+08:00) 2017-07-07 18:55:53

    Msemaji wa idara ya usalama ya jimbo la Guerrero, Mexico, Roberto Alvarez Heredia amesema, watu 28 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika vurugu zilizotokea kwenye gereza la Las Cruces lililoko mji wa Acapulco.

    Bw. Heredia amesema, mapigano kati ya makundi tofauti ya wahalifu waliofungwa jela yalitokea jana asubuhi katika gereza hilo.

    Polisi na idara za uendeshaji mashitaka zimeanza uchunguzi kuhusu chanzo cha mapigano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako