• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nahodha wa zamani wa Everton atua Dar

    (GMT+08:00) 2017-07-10 08:53:48
    Mchezaji wa zamani wa Everton, Leon Osman ametua jijini Dar es salaam jana na ataendesha mafunzo ya siku moja kwa waandishi na wachambuzi wa soka Julai 12 kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam.

    Ujio huo ni kufungua mlango kwa timu ya Everton itakayotua nchini Tanzania tayari kwa mechi ya fainali ya Sportpesa dhidi ya Gor Mahia ya Kenya itakayochezwa Alhamisi ijayo uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako