• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OSCE yatoa wito kwa wanachama kutekeleza diplomasia ya pande nyingi ili kuhakikisha usalama

    (GMT+08:00) 2017-07-10 09:27:44

    Mkutano wa 26 wa Jumuiya ya usalama na ushirikiano barani Ulaya OSCE uliofungwa jana huko Minsk, Belarus, umepitisha taarifa ya Minsk inayotoa mwito kwa nchi wanachama kutekeleza diplomasia ya pande nyingi ili kuhakikisha usalama. Taarifa hiyo imetoa mapendekezo kwa serikali na mabunge ya nchi wanachama, kukabiliana na changamoto na matishio yanayoendelea kuongezeka. Mbali na hayo, mkutano huo pia umezitaka nchi wanachama kufanya juhudi za kutatua masuala ya kiuchumi na kimazingira, na kuhimiza mafungamano ya kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako