• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Moto uliotokea kwenye Soko la Camden mjini London wadhibitiwa

    (GMT+08:00) 2017-07-10 16:51:57

    Idara ya Zimamoto mjini London, Uingereza imesema, moto uliotokea kwenye Soko la Camden mjini humo umedhibitiwa, ikiwa ni saa mbili baada ya polisi kupokea taarifa ya kuripoti kutokea kwa moto huo.

    Moto huo ambao ulianza usiku wa kuamkia leo, haukusababisha majeruhi wala vifo.

    Soko la Camden ni maarufu kwa watalii wanaotembelea kaskazini mwa mji wa London, na kuna maduka na vibanda zaidi ya elfu moja katika soko hilo la wazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako