• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ataka kuongeza juhudi katika kuendeleza mageuzi ya mfumo wa sheria

    (GMT+08:00) 2017-07-10 19:13:00

    Rais Xi Jinping wa China ametaka juhudi ziongezwe bila kusita ili kuendeleza mageuzi ya mfumo wa sheria na kufuata njia ya utawala wa ujamaa wenye umaalum wa China.

    Rais Xi, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, ametoa kauli hiyo katika maelekezo yaliyotolewa kwa mkutano wa kitaifa kuhusu mageuzi ya mfumo wa sheria, uliofanyika leo mjini Guiyang, mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako