• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Ziara ya Kagame Israel kuzaa matunda ya biashara

  (GMT+08:00) 2017-07-11 19:19:34

  Rais Paul Kamage wa Rwanda amewakaribisha wawekezaji kutoka Israel kutembea Rwanda na kutumia fursa za uwekezaji na biashara.

  Katika ziara yake Tel Aviv Israel, Kagame aliwahakikishia Israel kwamba Rwanda ina fursa ya za biashara katika sekta za teknolojia inayokuwa sasa,sekta ya kilimo ,kawi na usalama.

  Amesema Rwanda inawasubiri wawekezaji wa Israel wanaolenga kufika Rwanda na kuongeza miradi ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili

  Israel imewekeza mamilioni ya fedha katika sekta ya kilimo barani Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako