• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IOM yasema asilimia 0.5 ya watu wazima kote duniani wanajiandaa kuhamia nchi za nje

    (GMT+08:00) 2017-07-12 09:46:49

    Ripoti iliyotolewa jana na Shirika la uhamiaji la kimataifa IOM inasema watu milioni 23, ambao ni asilimia 0.5 ya watu wazima kote duniani, wanajiandaa kuhamia nchi za nje. Ripoti inasema nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa zaidi ya watu wazima wanaopanga kuhamia nchi za nje ni Nigeria, India na Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, na nchi wanataka kuhamia zaidi ni Marekani, na Uingereza, Saudi Arabia, Ufaransa, Canada, Ujerumani na Afrika kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako