• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya Riadha ya IAAF ya Chipukizi Kenya

  (GMT+08:00) 2017-07-13 10:40:57
  Mashindano ya riadha ya IAAF ya chipukizi wasiozidi miaka 18 yamengoa nanga jijini Nairobi, Kenya. Mashindano haya yametajwa kama tukio la kihistoria nchini kenya na Afrika kwa jumla kwa sababu ndio ya mwisho kufanuika, huku Kenya ikiwa nchi ya pili Afrika baada ya Morocco, kuandaa mashindano haya. Tom Wanjala ana ripoti kamili
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako