• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Serikali ya Kenya yaanza mchakato wa kukusanya ada za utumiaji wa barabara

  (GMT+08:00) 2017-07-13 18:54:59

  Serikali ya Kenya imeanza mchakato wa kutafuta kampuni itakayotekeleza mvumo wa kukusanya ada za utumiaji wa barabara.

  Hatua hii inalenga kukusanya pesa kutoka kwa wenye magari ambazo baadaye zitatumika kukarabati barabara zinapoharibika.

  Wizara ya fedha imesema kwenye taarifa kwamba sasa inatafuta kampuni ya kujenga vituo vya kukusanya ada hizo.

  Serikali imechangua barabara na maeneo itakakoweka vituo hivyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako