• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nahodha David Saruni apigwa marufuku mashindanoni

  (GMT+08:00) 2017-07-14 10:25:37
  Ilikuwa siku ya kuvunja moyo baada ya nahodha wa timu ya Kenya kwenye mashindano ya riadha ya IAAF ya chipukizi wasiozidi miaka 18 alipigwa marufuku kushiriki fainali ya mashindano hayo.

  David Saruni alitemwa nje ya mashindano hayo baada ya kubainika kuwa alikiuka mstari katika mbio za mita 400 kuruka viunzi kwenye mbio zinazoendelea uwanja wa Kasarani, jijini Nairobi.

  Saruni alikuwa ameshinda mbio hizo kwa sekunde 52.69 kwenye awamu ya tatu lakini yote yakawa bure kwani waandalizi wanasema alivunja sheria ambapo mwanamichezo hafai kuingia mstari mwingine kabla ya muzunguko

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako